C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,463 Jul 7, 2024 #21 Moisemusajiografii said: Kabla sijazeeka nilikuwa nadhani neno mboga hutumika kwa zenye asili ya majani tu.Ngoja nijifunze zaidi. Click to expand... Mkuu Moisemusajiografii kule Kilolo mkoa wa Iringa neno mboga watani wanalitumia hata kwa walinzi.
Moisemusajiografii said: Kabla sijazeeka nilikuwa nadhani neno mboga hutumika kwa zenye asili ya majani tu.Ngoja nijifunze zaidi. Click to expand... Mkuu Moisemusajiografii kule Kilolo mkoa wa Iringa neno mboga watani wanalitumia hata kwa walinzi.