Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Mkuu Moisemusajiografii kule Kilolo mkoa wa Iringa neno mboga watani wanalitumia hata kwa walinzi.Kabla sijazeeka nilikuwa nadhani neno mboga hutumika kwa zenye asili ya majani tu.Ngoja nijifunze zaidi.