AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
haya mambo inategemeana sana mtu mwenyewe kuna vidume
ukitaka kuharibu maisha yako,basi jaribu kum face na ishu kama hizo....trust me...
anaweza kugeuza maneno mpaka ukalia....
1.mfano we mbona hukuja kunisalimia?
2.mimi nilikuona upo na mwanaume pia nikauchuna...
nimweleze mumeo na wewe?
(hata kama ni uwongo)
kwanza najua unanitaka siku nyingi ndo maana umeshikwa na wivu kuniona na mtu mwingine
nitamwambia waifu unavyonirembulia na kutikisa wowowo unaponiona..
haya go ahead and telll her......lol
Maneno utageuziwa ukikurupuka... wanaume wangapi walitoka nje ya nyumba zao na mke akatulia (it is not right but ndio reality kua wanaume mara nyingi hawajatulia)... Kama najua kabisa it is a good marriage, kweli rafiki yangu SITAMHUSISHA katika hili for najua maumivu yake ni intensive... naamini kua ukingoea nae (huyo shemeji) ni rahisi kukuelewa kulika hata ukitaka uingilie kati....
Katika hili lolote la weza happen... kama ni mwanaume jeuri najua anaweza geuza kibao na akasema hayo in blue... But bora hilo kuliko kuivunja hio ndoa.. for believe me you kama akanisingizia (huyo mwanaume) na ndoa yao ikawa bado intact; then at the end of the day it was worth it....