Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Jamani hili mi naona kila mwanaume analo,kwa nini pindi ikitokea mwandani wako akikunyima haki ya ndoa lazima kuwe na UGOMVI either wa chini chini au live na ikitokea ukanyimwa two times au zaidi hapo lazima useme kwa nini inakuwa hivi na moyoni ukiwaza huenda amepata mwingine?Je kama mwenzio hana hiyo hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa nini huwezi muacha tu mpaka useme na kufikiria mengi namna hivyo?ni hoja tu yangu....
Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?
Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?
Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?
Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?
Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
Dah!Uthibitisho ni kuvunjika kwa ndoa nyingi bila sababu....je kama mwandani wako hayuko tayari na hajisikii kufanya tendo la ndoa kwani hapaswi pia kusma leo au kesho hana hamu?hata yeye pia ana haki ya kutokujisikia kufanya hilo tendo wakati mwingine.....
...je ulipomuoa ulimaanisha ni mkeo kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa tu?je kwako kufanya tendo la ndoa ndo inamaanisha anakupenda?tendo la ndoa hunoga endapo pande mbili husika zanashiriki kikamilifu,je kama umeforce litaitwa kweli tendo la ndoa au mchezo wa ndoa?
Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?
Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?
Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
Uthibitisho ni kuvunjika kwa ndoa nyingi bila sababu....je kama mwandani wako hayuko tayari na hajisikii kufanya tendo la ndoa kwani hapaswi pia kusma leo au kesho hana hamu?hata yeye pia ana haki ya kutokujisikia kufanya hilo tendo wakati mwingine.....
...je ulipomuoa ulimaanisha ni mkeo kwa ajili ya kufanya tendo la ndoa tu?je kwako kufanya tendo la ndoa ndo inamaanisha anakupenda?tendo la ndoa hunoga endapo pande mbili husika zanashiriki kikamilifu,je kama umeforce litaitwa kweli tendo la ndoa au mchezo wa ndoa?
Rudi nyumbani ukawaulize wazazi/walezi wako nini maana ya ndoa, mengine ni mapambo tu. Kwa hili mi naona ndoa yako iko njiani kuvunjika, jihadhari tafadhali.
mmhhh kazi ipo... sasa hii sio ndoa ila karaha.... making love suppose to be enjoyable for both...sio mambo ya mamlaka sasaUkweli ni kwamba, MWANAMKE HANA MAMLAKAJUU YA MWILI WAKE. NA WEWE NI HIVYO HIVYO. Anapokunyima, lazima kuna sababu ya msingi. Kama sio ya msingi ndipo maswali huanzia hapo.
Noname mambo?mmhhh kazi ipo... sasa hii sio ndoa ila karaha.... making love suppose to be enjoyable for both...sio mambo ya mamlaka sasa
hapo utamiliki vipi mwili wa mwemzio.... na kama mwanamke ana headache or stomach ache or not in mood... utamlazimisha? i thought mwanaume ana enjoy zaidi akimuona mwanamke ana enjoy...π
Noname mambo?
Nimekumisi upeo.
kwa nini pindi ikitokea mwandani wako akikunyima haki ya ndoa lazima kuwe na UGOMVI either wa chini chini au live na ikitokea ukanyimwa two times au zaidi hapo lazima useme kwa nini inakuwa hivi na moyoni ukiwaza huenda amepata mwingine?Je kama mwenzio hana hiyo hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa nini huwezi muacha tu mpaka useme na kufikiria mengi namna hivyo?ni hoja tu yangu....
Mnatutesa sana wake zetu; na hii nasemea wanawake wote wenye maamuzi na majibu kama haya kwa waume zenu! You are simply driving us to the wall na nikishafika huko basi wewe subiri retaliation yangu coz am Mad like hell!mmhhh kazi ipo... sasa hii sio ndoa ila karaha.... making love suppose to be enjoyable for both...sio mambo ya mamlaka sasa
hapo utamiliki vipi mwili wa mwemzio.... na kama mwanamke ana headache or stomach ache or not in mood... utamlazimisha? i thought mwanaume ana enjoy zaidi akimuona mwanamke ana enjoy...
Haifai kukasirika au kuzua ugomvi ukinyimwa sababu;
1.Inawezekana kabisa wakati huo hayupo tayari kuna kitu kinamsumbua kichwani,WANAUME TUSIWE WABINAFSI.mtu hataki unalazimisha,si kubaka huko?
wala usimuulize kwa nini hataki, endelea na mambo mengine,piga push up kama 100 hivi ruka kichura chura ,abdala kichwa wazi atalala,na kama alikuwa anakutest akikuona unavyohangaika kumtuliza jamaa,utasikia akisema'basi njooooo'. eeeeh mwanangu,Taratiiibu mzee mwenzangu unaingia bafuni,unaoga ukitoka huko kazi moja.
2.Raha ya mapenzi ni pale mwanamke anapohitaji,mara afanye kituko hiki mara hivi,
au akueleza live kuwa sasa nataka,sasa hapo jamaa yangu wala usipoteze muda,
kazi moja tu..............
3.Inawezekana kabisa,labda shauri ya joto kuna viupele au mchubuko fulani,eeeeh
hadi akuambie,we unataka tu,hayomapenzi......au mateso.
4.Ila akigoma mfululizo zaidi ya wiki moja hapo sasa omba akupe sababu.
5.Ile mikambaku na mibeberu huwapanda ng'ombe na mbuzi wakati wako kwenye heat tu.
usikasirike wala usimlazimishe kama mwenzio hataki.wala huta faidi.
Hayo yote nayahifadhi moyoni mwangu.Safi Chrispin thanks for asking... Vipi mzima wewe?
ooow thats soo sweet of u.. hata mie nimekumis...π
Hayo yote nayahifadhi moyoni mwangu.
aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?Mnatutesa sana wake zetu; na hii nasemea wanawake wote wenye maamuzi na majibu kama haya kwa waume zenu! You are simply driving us to the wall na nikishafika huko basi wewe subiri retaliation yangu coz am Mad like hell!
Hell Yeah! kwa nini nisianzishe ugomvi; umenivalia pedi wiki tatu eti damu zinatoka kidogo kidogo! Jamani wiki 3 hebu tusaidieni wataalamu hapa! Na siku utakayokuwa safi eti unaumwa kichwa mara sijui mshono kwa wale mliojifungua kwa operesheni! AAAAAAAAARGH!
Lazima mwelewe kuwa Sex in Marriage ndio top most satisfaction; ndio NDOA hayo mengine yanajengewa na msingi huo sasa kama hili halitimizwi kwa sababu zisizo za kimsingi lazima hiyo ndoa ina kasoro!