Haifai kukasirika au kuzua ugomvi ukinyimwa sababu;
1.Inawezekana kabisa wakati huo hayupo tayari kuna kitu kinamsumbua kichwani,WANAUME TUSIWE WABINAFSI.mtu hataki unalazimisha,si kubaka huko?
wala usimuulize kwa nini hataki, endelea na mambo mengine,piga push up kama 100 hivi ruka kichura chura ,abdala kichwa wazi atalala,na kama alikuwa anakutest akikuona unavyohangaika kumtuliza jamaa,utasikia akisema'basi njooooo'. eeeeh mwanangu,Taratiiibu mzee mwenzangu unaingia bafuni,unaoga ukitoka huko kazi moja.
2.Raha ya mapenzi ni pale mwanamke anapohitaji,mara afanye kituko hiki mara hivi,
au akueleza live kuwa sasa nataka,sasa hapo jamaa yangu wala usipoteze muda,
kazi moja tu..............
3.Inawezekana kabisa,labda shauri ya joto kuna viupele au mchubuko fulani,eeeeh
hadi akuambie,we unataka tu,hayomapenzi......au mateso.
4.Ila akigoma mfululizo zaidi ya wiki moja hapo sasa omba akupe sababu.
5.Ile mikambaku na mibeberu huwapanda ng'ombe na mbuzi wakati wako kwenye heat tu.
usikasirike wala usimlazimishe kama mwenzio hataki.wala huta faidi.