Kwa kina kaka wote(wanaume)

Jeeeeeeeeeezzzzz......Noname kumbe unajua kubembeleza hio...no wonder jamaa anafaudu sana!
Hapa hommie naona u do ze nidiful asap

afu apo kwen stalking nimecheeeeka hadi mbavu sina jamani una vituko sana wewe Noname....miss u
Mi nimeona hapo tu.
 
Hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?

Kwenye blue: Unaponyimwa HAKI YAKO kama ulivosema, hupaswi kuidai?

Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?

mkuu nilikuwa na mengi yakuchangia lakini majibu yako yametosheleza kila eneo jibu la nyongeza biblia inasema msinyimane
 

Hapo kwenye Red ni Hatari hiyo unaikaribisha; na kibinadamu you'd always want to know! Lets be honest! Blue ni hapo ni kichekesho kitupu mkuu; yaani utaanza tu kupiga push up saa 6 usiku! weeeeeeeeew weeeeeeeeeeew temea mate chini!

2.Raha ya mapenzi ni pale mwanamke anapohitaji,mara afanye kituko hiki mara hivi,
au akueleza live kuwa sasa nataka,sasa hapo jamaa yangu wala usipoteze muda,
kazi moja tu..............

Mungu zibariki ndoa hizi zidumu milele!


Hapa suala linakuja kuwa hizi sababu zinajirudia wiki nenda wiki rudi; na wala sio kulazimishana suala ni kuwa inatokea katabia ka kukunyima kanajengeka nabaadaye yaani unakuwa huna uhuru kabisa na unaishia kukata tamaa!😡
 
aha kweli bana wiki 3 is too much... I was talking about one to 3 days.... that kind of woman is either very cold au anataka kukukomoa... u know what am saying?

It always starts with 1, then 2 then ...............

These things vinawatokea watu!😡
 
mkuu nilikuwa na mengi yakuchangia lakini majibu yako yametosheleza kila eneo jibu la nyongeza biblia inasema msinyimane
Hehehe! Komrade na kale kakitu umekatwanga lakini?
 
Hapo ndipo huwa jukwaa hili linanifurahisha..sredi inawataka wanaume tu laikini kina FL1 na wadada wengeine wameisoma kana kwamba inawahusu na si okusoma tu na kujibu pia.Mmh.. jamani kwani nyie wanaume mnoba wadaku hivyo?

GS wala sio udaku
unashindana na Mungu sasa!!! mwenyewe alimuumba Adam akaona mmmh mbado kukamilika mamb hapa ngoja nimmege ubavu nimfanzie mwenza yaani Hawa!!!

sasa bila mwanamkw hamna mwanamme na bila mwanamume hakuna mwanamke

kama huamini kaangalie kule kwenye sredi ya '....kwa wakina dada tu....'
 

Nilikuwa natania tu my dia.
 
dah, nimeipenda hii, yani nimecheka kama chizi, too bad i am seenig it now
 
Mke anayekatalia unyumba huyo ni wa kumuacha tu, talaka, period. Au kama unasitasita,arudi kwao akajifunze au akaulize kwanza wazazi wake kama hiyo ndiyo ndoa, labda atarudi amebadilika. Otherwise hakuna faida ya kuishi na mke wa ndoa anayekatalia tendo la ndoa, ni kujitafutia mateso bure. Ende kwao.
 
Jeeeeeeeeeezzzzz......Noname kumbe unajua kubembeleza hio...no wonder jamaa anafaudu sana!
Hapa hommie naona u do ze nidiful asap

afu apo kwen stalking nimecheeeeka hadi mbavu sina jamani una vituko sana wewe Noname....miss u
kubembeleza ni kawaida as long as it doesnt hurt anyone...

na vituko nimejifundishia humu ndani ya JF😀 ... 🙄
 
aaa kwani mwanamke hatakiwi kuwa na mood?
wewe mwanamme unatakiwa uweze kumsoma mkeo kiasi cha kwamba usidai tunda siku ambayo hayuko kwenye mood

wanawake huwa hawaombi tunda siku mr akiwa katika mood mbaya au anahisi kachoka
 

Mwanamke makini atahakikisha mumewe mara zote 'ametosheka' na vivyo hivyo kwa mwanaume makini. Ukiwa mbinafsi kwenye ndoa haya matatizo lazima yatatokea. Ni muhimu kujifunza kujitoa kwa mwenzi wako ndani ya ndoa kwa kadri unavyoweza.

Kuna tatizo pia kwa wanaume. Mara nyingi tunashindwa kuwandaa mapema wake zetu kwa 'mchezo'. Tukifika kitandani ndio ghafla mtu anaomba 'game'! Kumbe angeweza kuanza kuyatengeneza mazingira ya mchezo mapema zaidi na kusoma alama za nyakati mapema ili kuavoid disappointments uwanjani.
 
hapo kwenye red; unaweza kuthibitisha hilo? Ulishanijaribu mimi?

Kwenye blue: Unaponyimwa haki yako kama ulivosema, hupaswi kuidai?

Kwenye black: Umeolewa ili ukaimbe kwaya kwa mmeo?
duh hayo majibu tosha kabisa
 

Mkuu mie nina mfano hai kabisa;(ma best friend) kidume unajituma kwa simu na msgs na zawadi mpaka wine; mchezo unapokaribia anakuwahi kitandani wewe unapofika kitandani yeye kishakoroma! Rafiki yangu ametoa notisi ya mwezi mmoja la sivyo anaoa mke mwingine; tunamsaidieje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…