Haifai kukasirika au kuzua ugomvi ukinyimwa sababu;
1.Inawezekana kabisa wakati huo hayupo tayari kuna kitu kinamsumbua kichwani,WANAUME TUSIWE WABINAFSI.mtu hataki unalazimisha,si kubaka huko?
wala usimuulize kwa nini hataki, endelea na mambo mengine,piga push up kama 100 hivi ruka kichura chura ,abdala kichwa wazi atalala,na kama alikuwa anakutest akikuona unavyohangaika kumtuliza jamaa,utasikia akisema'basi njooooo'. eeeeh mwanangu,Taratiiibu mzee mwenzangu unaingia bafuni,unaoga ukitoka huko kazi moja.