Kwa nini lawama ya kunyimwa ni wanaume tu wanalalamika? mbona wanawake wanyinawa na hawalii kama hii midume???
Tena wanaume mkipata kidoshi nje, ukavinjali walahi mkeo anakuwa kiporo kila siku, tena bila aibu mume anatoa sababu kwamba amechoka sana na kazi. Lakini mke husikiliza na kumpa pole tele mumewe.
Masikini kiumbe mwanamke, humilirikiwa na kutumiwa na kiumbe mwanaume ktk kila hali.
Ukiwa mtoto unaitwa binti fulani...
Ukiolewa basi ni mrs. fulani...
ukizaa basi mama fulani....
Lini mwanamke atakuwa yeye???
Dawa ya kutonyimwa unyumba ni kumpenda mkeo tu...
Huyu anayelalamika pengine hajui hata alim-kiss lini mkewe. Huenda unambaka tu ndiyo maana mkeo tendo la ndoa analiona ni adhabu.
Mwandae mkeoooooo..... khaaaa...