kwa kinababa tu...........

Una miaka mingapi ndugu??

Nashindwa kukujibu kwa sababu inawezekana ndiyo unaanza kujenga CV!!

Ungekuwa veteran mwenzangu ningekueleza zaidi!!

Babu DC!!

Tunaulizana tena mpaka miaka?
CV gani najenga?
Haujui CV lazima zitofautiane?
Mkuu inaezekana mimi ni veteran au si veteran, sijajua kuendana na vigezo vile umeweka kumwita mtu veteran. Ila kutwangwa, hata kibao cha bahati mbaya Na mwanamke haiwezakani.
Yani ni kukukosea heshima kwa kiwango cha juu mnoo.
 
valid bana,kwani ndoa ni mashindano?

Kutwangwa ndani kwani siri sasa?
Maisha haya ya extended family, na bint wa kazi wote wanasikia wife akipayuka kwa kukaripia, gafla mvua ya mangumi na vibao inashuka, kumbe ndugu unapigwa na wife. Ivi unapiga kelele au unanyamaza tu akupige mpaka kesho yake uchukue ED kazini?
Au vikizidi nawewe unapiga mayowe?
Dah. Halafu eti unaitwa DADY.
Huoni kuitwa ivo!
 
sikupiga kelele,i took it quitely like a man.
 

Pole sana,

Sasa tunakueleza kuwa inawezekana tena sana..sometimes inawezakifikia dozi ya asprin..2 kutwa mara 3!!
 

Siyo DAD tu,.....hadi wengine tunaitwa BABU!
 
Wewe una lako jambo..unataka tufunguke mara ngapi...hebu kariri uzi wote huu halafu uone ni kwa kiasi gani tumefunguka!!
kuna memba mmoja hajafunguka,tena for some inexplicable reasons ka dissapear kwenye huu uzi, lol!
 
Siyo DAD tu,.....hadi wengine tunaitwa BABU!

Dah. Pole BABU Kwa niaba ya wadau wote wanaotwanga na wife kama punching begs.
Huyo BIBI atakuwa kamrithisha na bint yake. Usishangae siku mkwe wako kaja kwako kushtak kapigwa na wife.
Sio wote wanaeza vumilia na kuficha kichapo wanachopokea.
 
kumbe wanaume hawafai kutendwa eeh.. Inaonyesha na wewe hua unatenda sasa leo zamu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…