Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Fungua, niko hapa mlangoni.njoo undunde!
Aisee nimekumisije?.. Mzima weye?bishanga kakusea huyo, angekufyatua vizuri wala usingeona keyboard, ungelala usingizi au kutafuta maji ya moto ukakande uso. Wanawake nawapenda san, wanachelewa kuchukua hatua once imefika mwisho ndiyo kama hivyo. Kinachofuata (kukuchinja).
Dah. Pole BABU Kwa niaba ya wadau wote wanaotwanga na wife kama punching begs.
Huyo BIBI atakuwa kamrithisha na bint yake. Usishangae siku mkwe wako kaja kwako kushtak kapigwa na wife.
Sio wote wanaeza vumilia na kuficha kichapo wanachopokea.
bishanga kakusea huyo, angekufyatua vizuri wala usingeona keyboard, ungelala usingizi au kutafuta maji ya moto ukakande uso. Wanawake nawapenda san, wanachelewa kuchukua hatua once imefika mwisho ndiyo kama hivyo. Kinachofuata (kukuchinja).
ama kweli,leo nimeamini kumbe kweli dunia uwanja wa fujo!bishanga kakusea huyo, angekufyatua vizuri wala usingeona keyboard, ungelala usingizi au kutafuta maji ya moto ukakande uso. Wanawake nawapenda san, wanachelewa kuchukua hatua once imefika mwisho ndiyo kama hivyo. Kinachofuata (kukuchinja).
Bishanga Abishaija. . .
Tajiri la Kihaya. . .
Mkali kama fire. . .
Yani nimeona unatafuta namba yangu mpya nikajisikia vibaya kweli. Yani ukorofi nilete mimi wa kunitafuta uwe wewe kwakua mi kiburi kimenijaa mpaka mashavuni. Naomba unisamehe mpenzi, nisamehe. . nisamehe. Nilikua nimekasirika wakati nafanya vile hata sikuwa nafikiria, ila sasa najua kile kitendo hakikua sahihi kabisa. Sasa hivi najua thamani yangu kwako na yako kwangu. . . sitaki tupotezane hivyo naomba unipokee nyumbani. Sasa hivi niko hapa nje kwente taxi nasubiria uniruhusu kurudi tuanze upya mapenzi na maisha yetu.
Nakupenda sana Bishanga. . .
Japo hujanifurahisha kuleta mambo yetu huku nasahau hilo ili tuanze upya. Naomba unipokee tafadhali.
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.
Uzuri Mi sijawahi kupigana....why?
Kwa poem baada ya Shaban Robert na Mathias Mnyampala (wote marehemu,RIP) unafuata wewe kwa umahiri.Bishanga Abishaija. . .