kwa kinababa tu...........

Hakukusudiaa msamehe, labda ulimkera kitu akakuona kama vile anaongea na mwanawe ndio mkono ukamponyokaa. ebu msalie mtume bwana weye usimrejeshe manake mwanamke mwili wake dhaifu...
 
Aisee...

Yaani kudundwa na wife mimi
Mimi ODM mimi?
Yaani mimi?
Mimi?

Mungu aepushie mbali talaka zinazoepukika!!!
 
Hujafundwa wewe inaelekea eh? Au hauangalii sinema basi. Angelina Jolie na Brad Pit walianzia hapo hapo kwenye ugomvi. Kamata mama yeyoo kisha mbunye. Ebooo
mmmmmhhhhhhh!!
 
Aisee...

Yaani kudundwa na wife mimi
Mimi ODM mimi?
Yaani mimi?
Mimi?

Mungu aepushie mbali talaka zinazoepukika!!!
Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.

Wewe ni baunsa wakati mama matesha kimbau mbau, atakuwezea wapi mama wa watu??...
 
Hakukusudiaa msamehe, labda ulimkera kitu akakuona kama vile anaongea na mwanawe ndio mkono ukamponyokaa. ebu msalie mtume bwana weye usimrejeshe manake mwanamke mwili wake dhaifu...
we acha tu toka jana niko kwenye mahesabu makali, niue nisiue!

w
 
Kama ni small house, mlete nimuongezee maujuzi kabisa ili hata ukiongea na mwanamke mwingine zaidi ya m
keo unapata kichapo hevi!! Lol
cheating nshaacha siku nyingi bana.
 
Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.

Wewe ni baunsa wakati mama matesha kimbau mbau, atakuwezea wapi mama wa watu??...
ana ubaunsa gani Aspirin?juzi tu hapa kalazwa mwanayamala kisa kibondo cha bibi yenu ma matasha.
 
Na aende akayasemee nyumbani kwake aone kama kesho hajafungua uzi kama wakwako.
we mwache,bora mi nna ubavu wa kukiri hazarani mianaume kibao huwa inaugulia ndani,akiulizwa vipi tena hiyo POP oh nimedondoka kwenye ngazi,ngazi? Sema tu ni mkong'oto wa mama kayai.
 
Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.

Wewe ni baunsa wakati mama matesha kimbau mbau, atakuwezea wapi mama wa watu??...
Mtu wa jinsia ya kiume anayepigwa na mkewe si MWANAUME BANA!
 
Byshernger kapigwa
Ila sijajua bado
Kapigwa na nini???
Na kapigwa sehemu gani??
Na alilia kwa maumivu au kinyume cha maumivu??

Binadamu wa jinsia ya kike anayempiga mmewe SI MWANAMKE BANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…