arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
Hakukusudiaa msamehe, labda ulimkera kitu akakuona kama vile anaongea na mwanawe ndio mkono ukamponyokaa. ebu msalie mtume bwana weye usimrejeshe manake mwanamke mwili wake dhaifu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti eh!
Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.Aisee...
Yaani kudundwa na wife mimi
Mimi ODM mimi?
Yaani mimi?
Mimi?
Mungu aepushie mbali talaka zinazoepukika!!!
we acha tu toka jana niko kwenye mahesabu makali, niue nisiue!Hakukusudiaa msamehe, labda ulimkera kitu akakuona kama vile anaongea na mwanawe ndio mkono ukamponyokaa. ebu msalie mtume bwana weye usimrejeshe manake mwanamke mwili wake dhaifu...
Na aende akayasemee nyumbani kwake aone kama kesho hajafungua uzi kama wakwako.maneno meeeeeeeengi!
Usiue!we acha tu toka jana niko kwenye mahesabu makali, niue nisiue!
w
ana ubaunsa gani Aspirin?juzi tu hapa kalazwa mwanayamala kisa kibondo cha bibi yenu ma matasha.Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.
Wewe ni baunsa wakati mama matesha kimbau mbau, atakuwezea wapi mama wa watu??...
Tehe, tehe, tehe!cheating nshaacha siku nyingi bana.
Aisee...
Yaani kudundwa na wife mimi
Mimi ODM mimi?
Yaani mimi?
Mimi?
Mungu aepushie mbali talaka zinazoepukika!!!
Pole sana Bishanga kwa kipigo!
we mwache,bora mi nna ubavu wa kukiri hazarani mianaume kibao huwa inaugulia ndani,akiulizwa vipi tena hiyo POP oh nimedondoka kwenye ngazi,ngazi? Sema tu ni mkong'oto wa mama kayai.Na aende akayasemee nyumbani kwake aone kama kesho hajafungua uzi kama wakwako.
Mtu wa jinsia ya kiume anayepigwa na mkewe si MWANAUME BANA!Mke wa Bishanga ni baunsa wakati bishanga kimbau mbau.
Wewe ni baunsa wakati mama matesha kimbau mbau, atakuwezea wapi mama wa watu??...
Binadamu wa jinsia ya kike anayempiga mmewe SI MWANAMKE BANA!Unamwomba akurudishie nusu ya mahari
Pole sana Bishanga kwa kipigo!
Binadamu wa jinsia ya kike anayempiga mmewe SI MWANAMKE BANA!