Afadhali wewe umefunguka vizuri...Toka jana tunamshauri mdogo wetu ila somo halipandi...
Inaonekana ana hasira sana kama ndege mmoja ambye huko kwao wanamwita enfunzi...Akichukia anamwaga msosi wote na kuzira kila kitu!
Bishanga...hebu wasikilize ndugu zako basi.....! Kama hutaki kushaurika basi tena, usije kutulaumu kwamba tumekunyima madesa!
Babu DC
Mke mwenza mie nashadadia vile Bepari anajifanyaga mjanjaaaaa kumbe kwa wife hakohoi lol... Mie ntaanzia wapi kumdunda shemejio na ubaunsa wote alionao?..Mke mwenza anavyoshadadia Bepari kudundwa! Nahisi kama shemeji huwa anadundwa! Wifi akipona ntamuuliza umbea,lol
Leo atathubutu kurudi? Labda amwombe babu DC akamwombee msamaha kwa wife!..hahah....ngoja tusikilizie na leo sijui watacheza mieleka!!! Lol
Inaelekea Bishanga hajui kupenda. Tunaambiwa "ukipenda boga, penda na ua lake...!"Nani kakudanganya? Kama haliumi Bishanga analizwa na nini?
PUBLIC NOTICE
By the powers conferred to me by PAW i am hereby making the following declaration:
Lizzy repeat Lizzy is hereby declared a prohibited participant on this thread.
Any violation of this notice will be dealt with forcefully.
Halo haloooooo. . .PUBLIC NOTICE
By the powers conferred to me by PAW i am hereby making the following declaration:
Lizzy repeat Lizzy is hereby declared a prohibited participant on this thread.
Any violation of this notice will be dealt with forcefully.
Kweli bana, kama anampenda wife apende na mangumi yake,..Inaelekea Bishanga hajui kupenda. Tunaambiwa "ukipenda boga, penda na ua lake...!"
Halo haloooooo. . .
Lizzy kaenda likizo. Akirudi utakua ushakua poa usijali!!
Na wewe kwa nini umemchapa kama mtoto wa vidudu (chekechea)??
Babu DC!!
inakuhuu? Na wewe nitakupiga PI kwenye thread yangu!
Hivi mpaka mwanamke akupige unakuta kaupata wapi? Huo ubavu?
Hajambo, anakusalimu pia amekupa pole sana kwa kipigo.SL yamekuwa hayo? TF hajambo?