Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Eti ana hasira kama nyegere
Afadhali wewe umefunguka vizuri...Toka jana tunamshauri mdogo wetu ila somo halipandi...
Inaonekana ana hasira sana kama ndege mmoja ambye huko kwao wanamwita enfunzi...Akichukia anamwaga msosi wote na kuzira kila kitu!
Bishanga...hebu wasikilize ndugu zako basi.....! Kama hutaki kushaurika basi tena, usije kutulaumu kwamba tumekunyima madesa!
Babu DC