VS ujue bishanga alipigwa vile alikuwa kalewa... Pombe sio chai ati.Hivi mpaka mwanamke akupige unakuta kaupata wapi? Huo ubavu?
ubavu kaupata kwa adam
kupenda kubaya.
VS ujue bishanga alipigwa vile alikuwa kalewa... Pombe sio chai ati.
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.
Kumbe kapigwa. Ukishapigwa na mwanamke, unaondolewa kwenye kundi la WANAUME. Mwanamke haez piga mwanaume bana.
You are now talking.....!!!Relax....
Suruhu ya ugomvi wowote wa kimapenzi ni kufanya mapenzi!!
Ndio hivyo sasa Bishanga ni mwanaume na kapigwa na mkewe ambae ni mwanamke!Kumbe kapigwa. Ukishapigwa na mwanamke, unaondolewa kwenye kundi la WANAUME. Mwanamke haez piga mwanaume bana.
Unamsingizia ili upate mwenzako eeh? Hapati bakora wala nini, we ulie tu Bishanga...nasikia na yeye anakula bakora kwa kwenda mbele.
Kongosha alinambia bana.umejuaje sweetie?
nakusikiliza tu Babu DC a.k.a Socrates.Inaonekana wewe bado denti kwenye haya mambo ya MMU....Wanawake wanatupiga tena sana ila basi tu...tunatumia busara na mauzoefu kuyamaliza....
Huyu jamaa kuna mahali kamiss step kuyaeleza haya mambo mbele ya watu ambao wengine uzoefu wao ni <0.01%!!
Babu DC!!
nakusikiliza tu Babu DC a.k.a Socrates.