kwa kinababa tu...........

kwa kinababa tu...........

ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.

Relax....
Suruhu ya ugomvi wowote wa kimapenzi ni kufanya mapenzi!!
 
Kumbe kapigwa. Ukishapigwa na mwanamke, unaondolewa kwenye kundi la WANAUME. Mwanamke haez piga mwanaume bana.

Inaonekana wewe bado denti kwenye haya mambo ya MMU....Wanawake wanatupiga tena sana ila basi tu...tunatumia busara na mauzoefu kuyamaliza....

Huyu jamaa kuna mahali kamiss step kuyaeleza haya mambo mbele ya watu ambao wengine uzoefu wao ni <0.01%!!

Babu DC!!
 
nakusikiliza tu Babu DC a.k.a Socrates.
 
Back
Top Bottom