naomba namba ya simu ya Lizzy plizzzzz.
yaani hujaondoka tu kwenye thread yangu?
Inaonekana wewe bado denti kwenye haya mambo ya MMU....Wanawake wanatupiga tena sana ila basi tu...tunatumia busara na mauzoefu kuyamaliza....
Huyu jamaa kuna mahali kamiss step kuyaeleza haya mambo mbele ya watu ambao wengine uzoefu wao ni <0.01%!!
Babu DC!!
VS ujue bishanga alipigwa vile alikuwa kalewa... Pombe sio chai ati.
Ndio hivyo sasa Bishanga ni mwanaume na kapigwa na mkewe ambae ni mwanamke!
kumbe mnapigwa hamsemi?
Aibu sana yani.
Hata kama unapigiwa chumbani. Mwanamke ataanzaje kunyanyua mkono wa kukupiga?
Labda kama huo uzoefu wa MMU unaouongelea, ni wanaume kutwangwa POLENI SANA.
Mwanamke kumpiga mwaume ni kukoseana HESHIMA.
ndo mnadanganyana kitaa?
Una miaka mingapi ndugu??
Nashindwa kukujibu kwa sababu inawezekana ndiyo unaanza kujenga CV!!
Ungekuwa veteran mwenzangu ningekueleza zaidi!!
Babu DC!!
hujui hata kupiga ni staili ya mapenzi?
kumbe mnapigwa hamsemi?
Aibu sana yani.
Hata kama unapigiwa chumbani. Mwanamke ataanzaje kunyanyua mkono wa kukupiga?
Labda kama huo uzoefu wa MMU unaouongelea, ni wanaume kutwangwa POLENI SANA.
Mwanamke kumpiga mwaume ni kukoseana HESHIMA.
nimejifungia mahali na kanokia kangu natafakari my next move,stay tuned.
Lizzy ndo nani?naomba namba ya simu ya Lizzy plizzzzz.
Hahaha! Yanamuhuuu yote kwa mpigo...yaani byshernger tatizo la kitaifa
matangazo yote ya pawabrekifast yanamhusu
1. funda moja tu la ziada litakuumbua
2. Sema nae kwa hisani ya wamarekani
naomba namba ya simu ya Lizzy plizzzzz.