kwa kinababa tu...........

kwa kinababa tu...........

naomba namba ya simu ya Lizzy plizzzzz.

Bishanga...uko wapi katika dunia ya JF? Au na wewe umeamua kujifanya don't care kama mkulu wako??

JF haina tena mtu anayeitwa Lizzy??

Kama huamini basi muulize super mod...RR!!

Babu DC!!
 
Inaonekana wewe bado denti kwenye haya mambo ya MMU....Wanawake wanatupiga tena sana ila basi tu...tunatumia busara na mauzoefu kuyamaliza....

Huyu jamaa kuna mahali kamiss step kuyaeleza haya mambo mbele ya watu ambao wengine uzoefu wao ni <0.01%!!

Babu DC!!

kumbe mnapigwa hamsemi?
Aibu sana yani.
Hata kama unapigiwa chumbani. Mwanamke ataanzaje kunyanyua mkono wa kukupiga?
Labda kama huo uzoefu wa MMU unaouongelea, ni wanaume kutwangwa POLENI SANA.

Mwanamke kumpiga mwaume ni kukoseana HESHIMA.
 
yaani byshernger tatizo la kitaifa
matangazo yote ya pawabrekifast yanamhusu

1. funda moja tu la ziada litakuumbua
2. Sema nae kwa hisani ya wamarekani

VS ujue bishanga alipigwa vile alikuwa kalewa... Pombe sio chai ati.
 
Ndio hivyo sasa Bishanga ni mwanaume na kapigwa na mkewe ambae ni mwanamke!

Mpe pole.

Siku nyengine awe mkali katka kueka heshima ya kiume ndani.
Kama mwanaume unapigwa na mwanamke ndani.
Heshima yako kama baba iko wapi ndani ya nyumba?
 
kumbe mnapigwa hamsemi?
Aibu sana yani.
Hata kama unapigiwa chumbani. Mwanamke ataanzaje kunyanyua mkono wa kukupiga?
Labda kama huo uzoefu wa MMU unaouongelea, ni wanaume kutwangwa POLENI SANA.

Mwanamke kumpiga mwaume ni kukoseana HESHIMA.

Una miaka mingapi ndugu??

Nashindwa kukujibu kwa sababu inawezekana ndiyo unaanza kujenga CV!!

Ungekuwa veteran mwenzangu ningekueleza zaidi!!

Babu DC!!
 
Bishanga...uko wapi katika dunia ya JF? Au na wewe umeamua kujifanya don't care kama mkulu wako??

JF haina tena mtu anayeitwa Lizzy??

Kama huamini basi muulize super mod...RR!!

Babu DC!!
mmmmmmhhhh??????
 
hujawahi sikia mwanamme analia usiku mzima?
Tena analililia kulia
acha vibao vya mke vitamu
hata kama vinaudhi

kumbe mnapigwa hamsemi?
Aibu sana yani.
Hata kama unapigiwa chumbani. Mwanamke ataanzaje kunyanyua mkono wa kukupiga?
Labda kama huo uzoefu wa MMU unaouongelea, ni wanaume kutwangwa POLENI SANA.

Mwanamke kumpiga mwaume ni kukoseana HESHIMA.
 
nimejifungia mahali na kanokia kangu natafakari my next move,stay tuned.

Hivi unaweza kumaliza 36 hours unawaza kitu kidogo kama hicho??

Usinifanya niseme mengi mulangila waitu??

Babu DC!!
 
Mpe pole.

Siku nyengine awe mkali katka kueka heshima ya kiume ndani.
Kama mwanaume unapigwa na mwanamke ndani.
Heshima yako kama baba iko wapi ndani ya nyumba?

valid bana,kwani ndoa ni mashindano?
 
yaani byshernger tatizo la kitaifa
matangazo yote ya pawabrekifast yanamhusu

1. funda moja tu la ziada litakuumbua
2. Sema nae kwa hisani ya wamarekani
Hahaha! Yanamuhuuu yote kwa mpigo...
 
Back
Top Bottom