kwa kinababa tu...........

kwa kinababa tu...........

Kama ni small house, mlete nimuongezee maujuzi kabisa ili hata ukiongea na mwanamke mwingine zaidi ya mkeo unapata kichapo hevi!! Lol
Kipipi nakusalimu....

Naamini bado u mtamu kama pipi.... tafazali usijegeuka mchungu kama shubiri ukawachapa makwenzi wanaume.

Mungu hapendi....
 
Muulize kapigwaje na kwa misingi ipi? Pengine ye ndo alikuwa anashusha kipigo ila bahati nzuri kikamgeukia!!! Lol
Eti walijibizana!... Kumbe Bishanga ana mdomo eeh? Mwache akomeshwe.
 
Kofi la mpenzi haliumi kaka. Mpenzi akikupiga umjibu kwa upande wa khanga yakhee. Au ulikuwa na maanisha kwamba kakupiga kwa maana ya "kupigiwa?"
 
Kofi la mpenzi haliumi kaka. Mpenzi akikupiga umjibu kwa upande wa khanga yakhee. Au ulikuwa na maanisha kwamba kakupiga kwa maana ya "kupigiwa?"
Nani kakudanganya? Kama haliumi Bishanga analizwa na nini?
 
ushawahi kupigwa na mkeo/gf wako? How did you react? Ulilipiza?uliuchuna? Ulimfungulia RB?uliita kikao cha wazazi? Ulifanya nini?
Ninalogoff maana leo nimetendwa and i just can't take it na aliyenitenda bahati mbaya yuko humu humu jf.

Huna nguvu mpaka kishtobe kikudunde?
 
Mke mwenza anavyoshadadia Bepari kudundwa! Nahisi kama shemeji huwa anadundwa! Wifi akipona ntamuuliza umbea,lol
 
Naitamani sana siku hiyo...ambapo mpenzi mama Gaude atakapo nichapa kofi...nitampenda daima!
 
Hujafundwa wewe inaelekea eh? Au hauangalii sinema basi. Angelina Jolie na Brad Pit walianzia hapo hapo kwenye ugomvi. Kamata mama yeyoo kisha mbunye. Ebooo

Afadhali wewe umefunguka vizuri...Toka jana tunamshauri mdogo wetu ila somo halipandi...

Inaonekana ana hasira sana kama ndege mmoja ambye huko kwao wanamwita enfunzi...Akichukia anamwaga msosi wote na kuzira kila kitu!

Bishanga...hebu wasikilize ndugu zako basi.....! Kama hutaki kushaurika basi tena, usije kutulaumu kwamba tumekunyima madesa!

Babu DC
 
Bishanga, kupigwa suna sheikh, kama kupaka henna kwenye ndevu
 
Hii thread imenikumbusha mbali sana...

Enzi zile za kufanya rehearsals,..... binti anakugusa kidogo au anakuchapa kibao cha uchokozi kisha anatimua mbio...

Lazima atimue hadi vichakani mbali na watu...Ukimfukuza na ukawa mjanja basi experiment inaishia huko huko!!

Wewe Bishanga uliruka steps?? Lazima ukarudie hizo hatua ili upate complete metamorphosis!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom