Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

Sioni mahakama ikiwajibika kwenye hili, maana wao ni sehemu ya huu uchafu wa kuvunjwa kwa sheria za nchi.
 
Sioni mahakama ikiwajibika kwenye hili, maana wao ni sehemu ya huu uchafu wa kuvunjwa kwa sheria za nchi.
Hii hali ikiendelea hivi tutapataje haki? Je, tunaweza kuendelea kuamini kwamba haki inapatikana mahakamani?
 
Hii hali ikiendelea hivi tutapataje haki? Je, tunaweza kuendelea kuamini kwamba haki inapatikana mahakamani?

Hakuna haki kwenye hizo mahakama, maana tayari siasa chafu za ccm zimeshaingizwa huko.
 
Usimwite mjinga Huyo ni mpumbavu kabisa! Kufananisha jambazi na mzalendo namba moja!
 
How can you use two different premises to argue on the same phenomenon? Logically doesn't add up!
 
How can you use two different premises to argue on the same phenomenon? Logically doesn't add up!

Do you think by using English will stop me from expressing my views? Or you think by using English will add some value in your posts? Or you want to show me your superiority by commenting in English?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…