Kwa kinachoendelea Somalia, Je imesahaulika?

Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa.

Nakubali misaada ipo lkn si kwa kiwango cha tatizo lililopo. Mbaya zaidi nchi zetu za Afrika zipo kimya sidhan kama kuna nchi hata moja imepeleka angalau kibaba cha mahindi, hatuwezi kuwachangia hata kidogo? Tunasubiri Marekani atusaidie alaf akituambia tutambua haki za mashoga kelele kibao.

Sipati picha mateso wanayopitia, kweli uumwe njaa mpaka ufe!! alaf jirani hakusaidii sitegemei kama ukipona utakua binadamu mwenye huruma na upendo kwa chochote kilicho mbele yako.

Na amini kama nchi tukiamua tunaweza kufanya jambo kwa awa ndugu zetu, tusisubiri matamasha ya WE ARE THE WORLD from USA. We can do it here in TZ tujimobilize sector zote na mtu mmoja mmoja kwa support kubwa ya serikali na vyombo vyote radio, TV, wasanii wote etc etc.
Picha kwa hisani ya chanel 24 news
View attachment 2379251View attachment 2379250View attachment 2379252View attachment 2379261
#TUNAWEZA KUFANYA JAMBO SOMALIA
Unataka wakulipue na makombora, hawataki kuingiliwa mambo yao ya ndani
 
Sisi ni wazee wa save paris, tunasimama na Ukraine, lakini huwezi kusikia ninasimama na Somalia, Burkinafaso et el
 
Back
Top Bottom