Kwa Kipa huyu bora ya Kindoki

Kwa Kipa huyu bora ya Kindoki

Aseee huyu kipa anayetulindia goli Yanga ..ni shati aseee ... Magoli anayofungwa aseee ... Bora kindoki .Nyikaaaa njooo uchukue hii ng'ombe yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nilimuona mapema sana na sijui ni nani amempa idhini ya kuwa kwenye timu ya hadhi ya Yanga ya vijana mbwa huyu
 
Yaaani jamaaa mrefu kuruka haendi yaani wanampopoa tu. MTU anapiga shuti Ubungo mpaka mwenhe imooooo ...ukilenga tu golini imooooooo boya sana

Mimi nilimshangaa siku na mechi na Azam ...goli la pili inapigwa faulo inaingia golini mikono yake anainyanyua kidogo utadhani anacheza 'iokote' ya Maua Sama na Hanstone..dah..hata mimi faulo ile ningedaka aisee.
 
Huyo kipa ndo habari ya mjin kwa sasa kwa kiwango kibovu bora tumpelele YANGA QUEENS akainue kiwango chake
 
Janga sana,alipigwa 12 beach soccer,makipa wapo wengi sana nchi hii na wanaitaka Yanga,ila asiwe Beno tu
 
Back
Top Bottom