Kwa Kipa huyu bora ya Kindoki

Kwa Kipa huyu bora ya Kindoki

Mistake zipo tu kwenye mchezo wa soka... Sio kipa tu, kikosi cha kwanza tu kinabutua butua, vipi hawa madogo.
Nawapongeza madogo kwa uwezo wao, si haba.
 
Mistake zipo tu kwenye mchezo wa soka... Sio kipa tu, kikosi cha kwanza tu kinabutua butua, vipi hawa madogo.
Nawapongeza madogo kwa uwezo wao, si haba.
Nasema nachokijua hana movement za kiugolikipa... Hawezi kubana goli ,hana strength(nguvu) mikononi,hawezi kuvutika(stretching) na kurukia michomo, hapangi mabeki wala haongei na mabeki ... Yaani hata basics za goalkeeping hana.....
 
Ni kosa la viongozi maana timu haishiriki mashindano yoyote makubwa wanapeleka kikosi b.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mipira ya beach soccer ni miepesi kama ya volleyball ukiweka hata mkono bila kukunja na kukaza mpira unadeflect ... sasa anafikiri na huku ni kama beach unapigwa mshindo goli ...yaani mpira ukielekea golini na nguvu tu basi goli dahhhh
 
Back
Top Bottom