stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Gari isiyozidi cc1000 itakufaa sana.Habari nipeni ushauri wakuu
- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?
- Mleta mada ana hoja asaidiwe apate gari ya kuanzia maisha
Asanteni nimejifunza kitu
Pesa ya kununulia gar ipo
Iyo 50,000 ni ya kuhudumia gari
Kuna walielewa mapema nimepata ushauri mzur
- Jibu hoja:Utapata chombo cha usafiri
"unashauri ninunue gari gani"
- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?Kipato cha elfu 50 kwa wiki (laki 2 kwa mwezi?) unaweza kununua gari?
Hata kama ana pesa tayari, kwa hicho kipato hawezi kumudu kumiliki gari.- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?
- Mleta mada ana hoja asaidiwe apate gari ya kuanzia maisha
Bajeti haitatosha kununua hata mafuta ya hio ndinga- Jibu hoja:
Hajasema ataagiza gari Japan, anaweza kununua kwa mtu .Japo hicho kipato chake ni bajeti ya nauli ya dala dala.Kama hela ya kununua gari unayo sawa utaweza himilo gari yenye cc chini ya 1000 japo kwenye kuitunza itakuzidi nguvu kipato chako..
Hiyo hela ni ndogo sana yaani ilipaswa ndo hela unaingiza kwa siku sio kwa wiki ndo ufikirie mambo ya Gari.
Ila kama ndo kipatp hicho unataka ukusanye ili uje ununue gari nikuambia tuu toka huko ndotoni au achana na maneno ya manabii eti pokea gari.
Hiyo 50k kwa mwaka ni sawa 2.6M (50,000×52(mwaka una wiki 52)=2.6M) hapo utaona hata gharama ya kuagiza gari na usaifiri kutokea japani bado haujaifikia bafo hujakuta na hiyo kodi.
Ushauri imarisha kipato chako ndo uje na mawazo ya gari hapo bado bado
Anunue gari mbongo la shi ngapi? maana ukinunua gari chini ya 5M hapa bongo ujue una shida Kwa fundi kila siku. Hiyo hela yenyewe ya maintainance anatoa wapi kama ndo 50k kwa wiki.Hajasema ataagiza gari Japan, anaweza kununua kwa mtu .
Gari unaichukulia lidude likuuubwa ambalo hadi uwe na mamilioni ndio umiliki, kijana makinika haipo hivyo.Hata kama ana pesa tayari, kwa hicho kipato hawezi kumudu kumiliki gari.