Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

Kwa kipato cha changu cha elf 50 kwa wiki unashauri ninunue gari gani

Habari nipeni ushauri wakuu
Gari isiyozidi cc1000 itakufaa sana.
--
🛠️ Mapendekezo ya Magari yenye cc chini ya 1000
  • Toyota Vitz (cc 990)
  • Toyota Passo
  • Suzuki Alto
--

✅ Faida za Magari yenye cc chini ya 1000​

  1. Ufanisi wa mafuta (Fuel Efficiency)
  2. Matengenezo ya bei nafuu
--

❌ Mapungufu ya Magari yenye cc chini ya 1000​

  1. Uwezo mdogo wa kupanda milima
  2. Uwezo mdogo wa kubeba mizigo
  3. Uwezo mdogo wa safari ndefu
--
- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?
- Mleta mada ana hoja asaidiwe apate gari ya kuanzia maisha


Asanteni nimejifunza kitu
Pesa ya kununulia gar ipo

Iyo 50,000 ni ya kuhudumia gari
Kuna walielewa mapema nimepata ushauri mzur
 
Kama hela ya kununua gari unayo sawa utaweza himili gari yenye cc chini ya 1,000 japo kwenye kuitunza itakuzidi nguvu kipato chako..
Hiyo hela ni ndogo sana yaani ilipaswa ndo hela unaingiza kwa siku sio kwa wiki ndo ufikirie mambo ya Gari.

Ila kama ndo kipatp hicho unataka ukusanye ili uje ununue gari nikuambie tuu toka huko ndotoni au achana na maneno ya manabii eti pokea gari.

Hiyo 50k kwa mwaka ni sawa 2.6M (50,000×52(mwaka una wiki 52)=2.6M) hapo utaona hata gharama ya kuagiza gari na usafiri kutokea japani bado haujaifikia bado hujakuta na hiyo kodi.

Ushauri imarisha kipato chako ndo uje na mawazo ya gari hapo bado bado
 
Kipato cha elfu 50 kwa wiki (laki 2 kwa mwezi?) unaweza kununua gari?
- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?
- Mleta mada ana hoja asaidiwe apate gari ya kuanzia maisha
 
- Chukua kwa mtazamo tofauti, Chukulia kuwa kuwa tayari fedha ya kutosha kununua Gari anayo, na kipato cha ziada ndio hiyo 50K kwa hesabu zake, na hiyo 50K anaielekeza kwenye kuhudumia Gari kwa wiki. Je anunue gari gani?
- Mleta mada ana hoja asaidiwe apate gari ya kuanzia maisha
Hata kama ana pesa tayari, kwa hicho kipato hawezi kumudu kumiliki gari.
 
Kama hela ya kununua gari unayo sawa utaweza himilo gari yenye cc chini ya 1000 japo kwenye kuitunza itakuzidi nguvu kipato chako..
Hiyo hela ni ndogo sana yaani ilipaswa ndo hela unaingiza kwa siku sio kwa wiki ndo ufikirie mambo ya Gari.

Ila kama ndo kipatp hicho unataka ukusanye ili uje ununue gari nikuambia tuu toka huko ndotoni au achana na maneno ya manabii eti pokea gari.

Hiyo 50k kwa mwaka ni sawa 2.6M (50,000×52(mwaka una wiki 52)=2.6M) hapo utaona hata gharama ya kuagiza gari na usaifiri kutokea japani bado haujaifikia bafo hujakuta na hiyo kodi.

Ushauri imarisha kipato chako ndo uje na mawazo ya gari hapo bado bado
Hajasema ataagiza gari Japan, anaweza kununua kwa mtu .Japo hicho kipato chake ni bajeti ya nauli ya dala dala.
 
Hajasema ataagiza gari Japan, anaweza kununua kwa mtu .
Anunue gari mbongo la shi ngapi? maana ukinunua gari chini ya 5M hapa bongo ujue una shida Kwa fundi kila siku. Hiyo hela yenyewe ya maintainance anatoa wapi kama ndo 50k kwa wiki.

Kipato chenyewe kasema ni 50k ambayo bila kuigusa kabisa kwa mwaka ndo anafikisha 2.6M(Gari la hiyo hela kwa bongo ukinunua umenunua jini la kutafuna hela zako kwa mafundi)
 
Ndugu Mteja, Tsh 1800 imekatwa katika salio lako kulipa Mkopo wako wa Yas Niwezeshe. Piga *147*00# kununua kifurushi au chagua 6 kuangalia mkopo unaoweza kupata
 
Hata kama ana pesa tayari, kwa hicho kipato hawezi kumudu kumiliki gari.
Gari unaichukulia lidude likuuubwa ambalo hadi uwe na mamilioni ndio umiliki, kijana makinika haipo hivyo.

Gari kwa wengine inarahisisha madili sio kwa ajili ya starehe pekee.
 
Back
Top Bottom