Kwa kipato hiki nianzie wapi ili kumiliki nyumba


Nafikiri gharama za nyumba inategemea na mahali unapojenga, hiyo mil 50 inaweza kuwa kubwa sana au ndogo kulingana na mkoa unaojenga na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi.
Mtoa mada kama una dhamira ya dhati ya kujenga anza mdogo mdogo utafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…