Njia ya Mbowe imefeli vipi kabisa?Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Tanzania nzima ni Ikungi?Angalia Matokeo ya Lissu Ikungi ndio Uje useme jambo hapa
mbona wewe huna faida kwa wanaokuzaa na unaitwa mtoto wao na hawajakukana ...next time andika sense na siyo rubbish!Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Mbowe bado anahitajika Chadema kwa usalama na uhai wake. Mawakala wa CCM ndio wanataka Mbowe aondoke, asiondoke abaki hadi demokrasia itengemae nchini.Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Mtu anakuwaje serious na akili yake? Ulitegemea kila mtu atakuunga mkono?Kuwa serious na akili yako
Ndio hivyo Mbowe haondoki maana hanunuliki ili aimarishe demokrasia nchini. Hatutaki iwe kama vyama vingine bandia.Kuwa serious na akili yako
Katiba mpya bora ni muhimu ili tuwe na chaguzi huru na haki kweri kweri !Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.
Mungu ibariki Tanzania,
Toronto-Canada
Tupatie hayo matokeo mkuu japo kwa ufupi.Angalia Matokeo ya Lissu Ikungi ndio Uje useme jambo hapa
Uzuri wa Mbowe ni kuwa ana ruhusu mawazo mbadala. Lissu anasema wazi kuwa kuna maamuzi alikuwa haku alianza nayo na hamchukulii hatua. Juzi wakina Lema wametofautiana Arusha, akasema ndio demokrasia. Msigwa alitofautiana wazi wazi na wenzake kwenye suala la Ngorongoro na hakufukuzwa. Naamini baada ya uchaguzi watakaa wote na kutathmini matokeo na kupanga nini cha kufanya. Kwa kiasi kikubwa uchaguzi umeonyesha jinsi dhana ya uchaguzi wa haki ilivyokuwa bado ni ndoto.Ukitaka uonekane huna akili na mazombi ya Mbowe, wewe sema Mbowe atoke pale kwenye uenyekiti, mimi naungana na wadau wengine muda umefika Mbowe kupisha akili mpya
Usitegemee lolote kwa akili ile ile ya Mbowe, ni muda muafaka kuachia madarakaUzuri wa Mbowe ni kuwa ana ruhusu mawazo mbadala. Lissu anasema wazi kuwa kuna maamuzi alikuwa haku alianza nayo na hamchukulii hatua. Juzi wakina Lema wametofautiana Arusha, akasema ndio demokrasia. Msigwa alitofautiana wazi wazi na wenzake kwenye suala la Ngorongoro na hakufukuzwa. Naamini baada ya uchaguzi watakaa wote na kutathmini matokeo na kupanga nini cha kufanya. Kwa kiasi kikubwa uchaguzi umeonyesha jinsi dhana ya uchaguzi wa haki ilivyokuwa bado ni ndoto.
Amandla...
Akili tofauti ya Mbowe ikoje? Unataka kuniambia kuwa Mwenyekiti akiwa Heche, akitangaza maandamano, mtatoka muandamane? Mmeshindwa kuandamana kupinga mauaji na upoteaji wa wananchi kwa sababu tu Mbowe ndie aliyeyaita?Usitegemee lolote kwa akili ile ile ya Mbowe, ni muda muafaka kuachia madaraka
Huyu mchaga mwenzenu mnampenda sana mpaka mmekuwa vipofu.Njia ya Mbowe imefeli vipi kabisa?
Amandla...