Pre GE2025 Kwa kipigo hiki cha CHADEMA, Mbowe achia chama kwa Heche kubadili kabisa aina ya siasa ya kufanya hiyo yako haina matokeo tena na haiaminiki kwa umma

Pre GE2025 Kwa kipigo hiki cha CHADEMA, Mbowe achia chama kwa Heche kubadili kabisa aina ya siasa ya kufanya hiyo yako haina matokeo tena na haiaminiki kwa umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kwa structures za sasa, kuna mtu alitegemea matokea tofauti na tunayoyaona?
Mimi ntamshangaa mwana CCM kufurahia haya matokeo. It was expected. No surprises.
Na kimsingi yanareflect kitu kuhusu CCM na si CDM.

Miaka karibu 8 ya CDM kutaabishwa bado ikiingia kwenye uchaguzi inapata viti?

CCM wanapaswa kujitafakari sana.
 
wanataka mkurya alete majeshi ya wananchi mitaani ndio ccm waelewe. Mbowe ameshindwa au hasikilizwi.

Wanataka mkurya atangaze jino kwa jino, hilo ndilo ccm wanaelewa na kukubari mamlaka ya wananchi yapo juu yao na sio chini yao.

Wanataka mkurya atangaze na au awaambie watu kwamba sasa chukueni sheria mikononi , kibaka wa kura mshugulikieni kwa style itakayo wafaa wenyewe, hilo ndilo wanataka, amani amani, wimbo huo umechuja kwa sasa.

Ni hayo tu , ndio maana wanamtaka Mkurya aje badala ya Mbowe... kazi kweli kweli... Kenge hafi kwa kutoka damu puani au masikioni. lazima kumtupa jongoo na mti wake ndio mambo yanakwenda.
 
Anatatizo gani? Mbowe ndiye size ya CCM Kwa vigezo vingi. Mnataka mletewe vidagaa ili muwanunue kama nyanya sokoni?

Lissu angeweza ila atawaprovoke CCM watamtwanga risasi tena.
20240701_192654.jpg

Huyu ndio size ya CCM?

Sawa mtalia zaidi 2025. Tupo hapa.
 
Sasa wewe si ndio utufumbue macho. Tueleze anakosea wapi badala ya kusema aondolewe tu. Huyu mchaga amefungwa, amenyang'anywa biashara zake lakini bado anapambana. Wewe umefanya nini zaidi yake?

Amandla...
Mbowe hana shida CCM wanamuogopa sana ndio maana wanafanya propaganda aondoke kwenye uenyekiti kwa sababu ni tishio sana kwao.

Kama tunaenda kwenye uchaguzi wa 2025 Mbowe akiwa mwenyekiti tutakumbushana.
 
Akili tofauti ya Mbowe ikoje? Unataka kuniambia kuwa Mwenyekiti akiwa Heche, akitangaza maandamano, mtatoka muandamane? Mmeshindwa kuandamana kupinga mauaji na upoteaji wa wananchi kwa sababu tu Mbowe ndie aliyeyaita?

Amandla...
Usipige ramli atoke hapo Mbowe apishe watu wengine halafu uje hapa utoe maoni , kila mtu anaona mzee Mbowe kwasasa hakuna tena kipya
 
Ukitaka uonekane huna akili na mazombi ya Mbowe, wewe sema Mbowe atoke pale kwenye uenyekiti, mimi naungana na wadau wengine muda umefika Mbowe kupisha akili mpya
Wanapoondolewa wagombea wa upinzani hamuongei yakija matokeo mnakuja Kama wajinga wasiojua kuwa ccm wamepita bila kupingwa?
 
Hivi kwa structures za sasa, kuna mtu alitegemea matokea tofauti na tunayoyaona?
Mimi ntamshangaa mwana CCM kufurahia haya matokeo. It was expected. No surprises.
Wakati wale wanafunzi wanaandikishwa hawakuelewa mchezo huo una maana Gani. Labda walifikiri kuwa siku ya kupiga kura watoto wale wanafunzi wangeenda kwenye vituo, kumbe karatasi zao zilizokwisha pigwa "tiki" ndizo zilizowasilishwa.. Maamae zao Chama cha majambazi.
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
NO HATA UKIPEWA WEWE CHADEMA HUTAWEZA.
SULUHISHO NI KUFUTA VYAMA NA KUBAKI NA CCM TU KWA MIAKA 100 INGINE.
TANZANIA HAIPO TAYARI KWA VYAMA VINGI BADO ELIMU YETU NI NDOGO.
NA UBUNGE 2025 CCM ITASHINDA KWA 100% BAADA YA KUENGUA WAGOMBEA WOOOTE WA UPINZANI NA BAADHI YA WAPINZANI KUUWAWA
 
Wakati wale wanafunzi wanaandikishwa hawakuelewa mchezo huo una maana Gani. Labda walifikiri kuwa siku ya kupiga kura watoto wale wanafunzi wangeenda kwenye vituo, kumbe karatasi zao zilizokwisha pigwa "tiki" ndizo zilizowasilishwa.. Maamae zao Chama cha majambazi.
Yaani ukiangalia kwa undani maisha ya mwafrica au mtanzania, utagundua viongozi wetu na (enablers wao) wanafanya juhudi kubwa kuturudisha nyuma baada ya kutusogeza mbele.
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Chama kinaamini siasa za twiter kuliko kwemda ground🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Usipige ramli atoke hapo Mbowe apishe watu wengine halafu uje hapa utoe maoni , kila mtu anaona mzee Mbowe kwasasa hakuna tena kipya
Unaepiga ramli ni wewe ambae unashindwa kusema nini hasa ni udhaifu wa Mbowe. Katika siasa huyo unaemuita Mzee bado ni kijana.

Chadema wakiona Mbowe hawafai tena watamuacha kwa heshima na adabu. Na yeye mwenyewe akijiona hana jipya katika cheo alichonacho hatakigombea katika uchaguzi ujao.

Amandla...
 
Ndio hivyo Mbowe haondoki maana hanunuliki ili aimarishe demokrasia nchini. Hatutaki iwe kama vyama vingine bandia.
Mbowe amenunuliwa na MARIDHIANO FAKE, CDM inahitaji mabadiliko ya kiuongozi sasa
 
Back
Top Bottom