Pre GE2025 Kwa kipigo hiki cha CHADEMA, Mbowe achia chama kwa Heche kubadili kabisa aina ya siasa ya kufanya hiyo yako haina matokeo tena na haiaminiki kwa umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Umetuhakikishia kumbe hata wajinga wanaweza kuishi Toronto.
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Mungu akakufe anzia unywele wako mpaka kisigino chako cha mwisho manaliaribu Taifa alafu mnachekelea .pumbavu
 
Mbowe bado anahitajika Chadema kwa usalama na uhai wake. Mawakala wa CCM ndio wanataka Mbowe aondoke, asiondoke abaki hadi demokrasia itengemae nchini.
Hapa imeenda kinyume. CCM ndo tunataka Mbowe aendelee maana Siasa zipo soft soft
 
CDM haina kiongoz wa chama kma Mbowe mwisho wa Mbowe ndo mwisho wa CDM
 
Mbowe abaki MKiti, Lissu Makamu MKiti na Heche Katibu Mkuu. Hapo timu itakamilika kuokoa rasilimali za Nchi yetu na kusimamia upatikanaji wa Katiba Mpya kabla 2025.
 
Brother kwamba katika wanachama wote wa chadema yeye ndio mwenye akili ya kukipeleka chama mbele?

Kwani mbowe alinunuliwa?
Mbowe abaki hadi 2030 aendelee kuwaimarisha wa kuwaachia Chama.
 
Mbowe amenunuliwa na MARIDHIANO FAKE, CDM inahitaji mabadiliko ya kiuongozi sasa
Kama ni kweli ushahidi utilewe hadharani ili aumbuke. Ila kweli CCM wawe na ushahidi wasimuumbue?
 
Mbowe bado anahitajika Chadema kwa usalama na uhai wake. Mawakala wa CCM ndio wanataka Mbowe aondoke, asiondoke abaki hadi demokrasia itengemae nchini.
Sawa kamanda
 
Chadema hawashauriki haswa ukimtaja mbowe wao ndio unawatibua zaidi kwaio ni kuwaacha tu
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Kipigo gani?
Hakuna uchaguzi hapa, ndugu.
 
Back
Top Bottom