ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kwanini waondolewe ? kama mwenyekiti angekuwa imara haya usinge yaona nakwambia , kuna wakati watu walikuwa imara CCM wakawa hawana la kufanya, wakati ule Dr Getrude Buriani anapigwa chini na Lema pale Arusha unafikiri ilikuwa rahisi HAPANA uongozi kuanzia juu ulikuwa imara sanaWanapoondolewa wagombea wa upinzani hamuongei yakija matokeo mnakuja Kama wajinga wasiojua kuwa ccm wamepita bila kupingwa?