Kwa kipindi hiki cha Hapa kazi tu ni Biashara/Project zipi hazijaathiriwa?

Pia residential real estate, commercial real estate kunawiri kwake kunathiriwa sana na hali ya uchumi, kariakoo saiv frem unapata na wanakubali hata miezi 6
Waliringa sana enzi zile, yani kuna kipindi nilitaka frem wakaniambia nitoe kwanza milioni tatu wanaita kilembwe heheheh, hapo bado hujatoa kodi ya mwaka, nikaahirisha
 
Sina elimu ya chuo ya uchumi, lakini ninachojua hakuna kisichoathirika uchumi ukiyumba.

Hiko chakula kama Muuza cement hauzi tena mifuko 50 kwa siku kama zamani upo uwezekano mchana asije kula kwenye mgahawa wako, akasubiri usiku akale nyumbani kwake.

Muuza fenicha akikaa mwezi mzima hajauza meza, akisikia mwili unauma haendi hospitali ataishia kumuuliza shangazi amwambie chemsha majani ya mchunga unywe.

Mwenye salon akikosa Wateja usitegemee atasafiri kwenda kumuona Mama mgonjwa Mwanza, mwaka mzima ni meseji tu.

Nyumba za kupanga nazo zinategemea hao Mama ntilie, wenye Hardware...watakulipaje kodi nao hawauzi?
 
Ama kweli wewe huna elimu ya uchumi
 
Back
Top Bottom