Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,588
Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers,

Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe

Picha ina nini au ndo wewe uliyemteka kijana wa mbeya ukamuua kisa kuchana picha ya raisi.UVCCM akili zenu zipo kwenye makalio.
 
Acha wenge. Tumia muda wako kula karoti na matunda yanawezesha uoani imara.

Hiyo picha wala si ya Hersi..

Acha uoga wa kujishtukia.

View attachment 3427234
 
Hilo fumbo mzee ujumbe ndiyo huo wanamlenga Eng hers tu mzee
 
Picha ina nini au ndo wewe uliyemteka kijana wa mbeya ukamuua kisa kuchana picha ya raisi.UVCCM akili zenu zipo kwenye makalio.
Masuala ya CCM yamefuata Nini hapa unachapwa nao Nini?!!
 
Hizi team zote zinaendeshwa na watu wajinga

Mchezo wa soko ni fair play "Uumgwana" huwezi kufanya Hicho kitengo
 
IMG-20250801-WA0061.jpg
 
Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers,

Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe

View attachment 3427234

Huyo ni hersi kumbe? Anyway unamjua bwana ako. Mi sikuwa najua kama ndo yeye. Sisi wanaume huo muda hatuna kwa kweli. Wanawake hatari sana nyie.
 
Back
Top Bottom