Kwa kitendo hiki, Yanga wameamua kuolewa na Simba sc

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.

Moja kwa moja kwenye mada husika.

Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.

Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni ishara ya yanga kukubali rangi za Simba sc ni bora kuliko za kwao ni ishara ya udhaifu...
Na kuna msemo unasema akikushinda ungana nao..yanga wameamua kujiunga na Simba sc kwa upande wa rangi..kitendo hichi nisawa na kukubali kuolewa..#$Simba nguvu moja💪$#
 
 
Tuoneshe hati miliki ya Simba (patent) ya Simba kumiliki rangi "nyeupe".
 
Sijuhi nicomment
 
Kinachoonekana kwenye picha ni tofauti kubwa na ninachoona watu wamevaa mitaani
 
Kama ni hivo na nyie mmeolewa na azam fc
 
Kama ni hivo na nyie mmeolewa na azam fc
Simba ilikuwepo kama hata aliyeanzisha Azam hajazaliwa..maana yake Azam ndio anaiga kila kitu kwa aliyemkuta..pia Azam ni mtoto wa Simba sc..kuna vitu lazima viendane
 
Mbumbumbu wanazidi kuongezeka kwa hio 5imba timu pekee inatumia rangi nyeupe? Majitu kama haya unashindwa kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi?
 
Hoja za kishamba... Mkifungwa mnaanza kulialia
 
Mbumbumbu wanazidi kuongezeka kwa hio 5imba timu pekee inatumia rangi nyeupe? Majitu kama haya unashindwa kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi?
Simba hata akitaka kubadili rangi sijui third kit hawezi hata Kwa sababu yoyote ile kugusa njano au kijani. Vivyo hivyo Kwa Yanga hapo zamani.

Mambo kama haya ndio maana Mzee Magoma anapata wafuasi, Yanga inatoka kwenye uasili wake (kuuzwa).
 
Reactions: Tui
Yote Heri Ila Kutumia Rangi Nyeupe Oops
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…