ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Watabadilishaje wakati ni mbumbumbuSimba hata akitaka kubadili rangi sijui third kit hawezi hata Kwa sababu yoyote ile kugusa njano au kijani. Vivyo hivyo Kwa Yanga hapo zamani.
Mambo kama haya ndio maana Mzee Magoma anapata wafuasi, Yanga inatoka kwenye uasili wake (kuuzwa).
Kwa hiyo na Simba kaolewa na Azam kutumia Blue..? Punguza kinyesi kichwaniHapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni ishara ya yanga kukubali rangi za Simba sc ni bora kuliko za kwao ni ishara ya udhaifu...
Na kuna msemo unasema akikushinda ungana nao..yanga wameamua kujiunga na Simba sc kwa upande wa rangi..kitendo hichi nisawa na kukubali kuolewa..#$Simba nguvu moja💪$#
View attachment 3054987
Kinyesi unayo wewe..unayeshabikia timu inayowakilisha rangi ya mavi ya mwanadamu (njano) na kijani mavi ya ndege..mshamba wa njano weweKwa hiyo na Simba kaolewa na Azam kutumia Blue..? Punguza kinyesi kichwani
Comment za kishamba kishamba 😅😅.Kinyesi unayo wewe..unayeshabikia timu inayowakilisha rangi ya mavi ya mwanadamu (njano) na kijani mavi ya ndege..mshamba wa njano wewe
Wako na hali mbaya sana🤣🤣🤣Hakuna watu wamepagawa na Jezi kama wazee wa UBAYA UBWEGE 😹😹😹
Unajua katiba yenu ya yanga inatambua na imetisha rangi hizi njano,kijana na nyeusi kuwa ndio rangi ya yanga..huku kwenye rangi za Simba sc mmefuata nini?kama sio hamjuelewi...mnajipendekeza kwa Simba sc kwa kila style.Mbumbumbu wanazidi kuongezeka kwa hio 5imba timu pekee inatumia rangi nyeupe? Majitu kama haya unashindwa kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi?
Zakwako za kijanja ndio zip ?hizi za kishamba ndio napenda sanaComment za kishamba kishamba 😅😅.
Subiri tarehe 8 utajua tumefata nini huko kwenye rangi nyeupeUnajua katiba yenu ya yanga inatambua na imetisha rangi hizi njano,kijana na nyeusi kuwa ndio rangi ya yanga..huku kwenye rangi za Simba sc mmefuata nini?kama sio hamjuelewi...mnajipendekeza kwa Simba sc kwa kila style.
kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Mwaka ule mlikataa kuvaa jezi yenye logo ya Vodacom (ambayo ina rangi nyekundu na nyeupe), unamkumbuka sababu walizozitoa viongozi wako?Tuoneshe hati miliki ya Simba (patent) ya Simba kumiliki rangi "nyeupe".
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni ishara ya yanga kukubali rangi za Simba sc ni bora kuliko za kwao ni ishara ya udhaifu...
Na kuna msemo unasema akikushinda ungana nao..yanga wameamua kujiunga na Simba sc kwa upande wa rangi..kitendo hichi nisawa na kukubali kuolewa..#$Simba nguvu moja💪$#
View attachment 3054987
Yanga inaenda kisasa na kisomi, hayo mambo ya asili sio mpira wa kisasa ni mambo yaliyopitwa na wakati. Mpira sasa hivi umekuwa ni mchezo wa kisayansi na ni biashara na wala sio mchezo wa kiutamaduni. Hayo mambo ya rangi yana faida gani kwa timu? Hao wazee ndio wanaoleta mambo ya kizamani, zama zimebadilika.Simba hata akitaka kubadili rangi sijui third kit hawezi hata Kwa sababu yoyote ile kugusa njano au kijani. Vivyo hivyo Kwa Yanga hapo zamani.
Mambo kama haya ndio maana Mzee Magoma anapata wafuasi, Yanga inatoka kwenye uasili wake (kuuzwa).
Katiba ipi ya 2021 au ipi? Katiba ya Yanga imeshabadilishwa tokea 2021 kwa msaada wa La Liga, hivyo focus ya timu ni kwenda kisasa, sio mambo ya kizamani ya kujifungia rangi ya aina fulani pekee. Angalia jezi za Man U ambao walitambulika kwa jina la mashetani wekundu, lakini hivi sasa wanatoa jezi nje ya rangi zao zilizozoeleka ( nyekundu na nyeupe)Unajua katiba yenu ya yanga inatambua na imetisha rangi hizi njano,kijana na nyeusi kuwa ndio rangi ya yanga..huku kwenye rangi za Simba sc mmefuata nini?kama sio hamjuelewi...mnajipendekeza kwa Simba sc kwa kila style.
Ndio tatizo la timu kuongozwa na vijana wanaobalee..hamuelewi kitu mnajichanganya sana..hakuna kitu kisichokuwa na identity yake..hata dini zenyewe zina identity...viongozi wenu na wewe mkishavuka stage ya balehe mtajua mmekosea.Yanga inaenda kisasa na kisomi, hayo mambo ya asili sio mpira wa kisasa ni mambo yaliyopitwa na wakati. Mpira sasa hivi umekuwa ni mchezo wa kisayansi na ni biashara na wala sio mchezo wa kiutamaduni. Hayo mambo ya rangi yana faida gani kwa timu? Hao wazee ndio wanaoleta mambo ya kizamani, zama zimebadilika.
Hawa jamaa wamechanganyikiwa kwasababu ya uchawi wao..unajua uchawi ukizidi unachanganyikiwa.Kuna kipindi hao Utopolo walikataa rangi nyekundu ya twiga(wadhamini wa ligi kukuu) kwenye jezi yao!