Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

Joined
Feb 9, 2024
Posts
42
Reaction score
80
Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu chepesi, ingekuwa kitu kizito tungesema tumekata motona kukata kauli, lakini hata mtoto wa nursery anaona vitimbi wa hawa jamaa, viongozi, Mungu anawaona. Mjitafakari kabla ya mambo hayajazidi kuharibika.
 
Ahmed Ally atakuja kuwapasua vifua.
Fred magoli
Jobe the porcher.
 
Hivi ni nani aliesajili hawa watu? Unajua ni mambo ya kushangaza sana!
 
Km ilivyo kwa Onana aliyewapa ushauri ni E'too na Fred naye aliyewashauri ni Drogba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…