Kwa kiwango hiki cha simba, Tumepigwa kitu kizito

Kuna mtu kaandika mzungu alifunga golini hapakuwa na mlinda mlango.

Sasa alitaka mfungaji asubiri kipa arudi langoni?

Haoni kuwa huo ndio ufundi wenyewe?
Fact ni kuwa mzungu kwa lile goal ....alibahatisha hata ww pale usingekosa
 
Sisi wachambuzi.....hatuna mipaka kwny taaluma yetu mkuu
 
Yaleyale
 

Attachments

  • IMG-20220823-WA0022.jpg
    59.3 KB · Views: 4
Wenzako hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…