Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact ni kuwa mzungu kwa lile goal ....alibahatisha hata ww pale usingekosaKuna mtu kaandika mzungu alifunga golini hapakuwa na mlinda mlango.
Sasa alitaka mfungaji asubiri kipa arudi langoni?
Haoni kuwa huo ndio ufundi wenyewe?
Sisi wachambuzi.....hatuna mipaka kwny taaluma yetu mkuuYaani we bwege kweli. Kwahyo hapo uzi tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie utopolo hivi msipoizungumzia Simba mnapatwa na tumbo la kuhara au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani alimwambia atokeKipa alitoka kweny eneo lake
Mmepigwa Kitu Kizito....nyie ni Kina nani.
Hicho Kitu Kizito ndo Ule Mwiko Wa nyuma?
Mmepigwa Kitu Kizito....nyie ni Kina nani.
Hicho Kitu Kizito ndo Ule Mwiko Wa nyuma?
Ikawaje sasa akachelewa kurudi ofisini kwakeAlikuwa anafanya save
YaleyaleHabari wana jf sports
Acha tuseme ukweli penye ukweli
Bado kuna kitu hakipo sawa, kwenye timu ya simba hata timu kuanzisha mashambulizi kwenda mbele ni tabu wanacheza sana back pass muda mwingi,mipira ikifika kati bado wachezaji wanakaa sana na mipira,
Chama anacheza sana mpira wa taratibu (slow motion) kiasi kwamba anafanya timu kupoa .......huu ni aina ya mpira wa kienyeji uliopitwa na wakati.....kimataifa tunahitaji timu zenye mpira wa kasi .....( Zoran ajifunze kwa prof..nabi)
Banda anajitahidi sana kupiga pasi mpenyezo.
wanakosa sana magoli ya wazi,mechi ya simba wangecheza mpira wa kasi na Kagera walikua washinde hata goli tano.
Mzungu bado tumepigwa
Mzungu ukimtazama sana utamuona ana mpira wa Cr 7........ ukimzoom tena utamuona ni lewandowsk mtupu .....ila matendo yake yanakuja ku mreveal kuwa huyu ni yikpe mtupu[emoji23][emoji23]
Mzungu mechi ya kagera kafunga bila kipa kuwepo golini....ila wanasimba tulivyoshangilia sasa (inasikitisha)
NB: simba boresheni hayo niliyowaambia mtafanya vzr kimataifa ....mzungu ni mandonga mweupe.....
Je wewe umeona madhaifu yapi ya simba.( wanalunyasi )???????
By mchambuzi from tukuyu
Nipo tayari kuhesabiwa
View attachment 2332046
Acha kubwekabweka kenge weweUna maanisha nini mkuu.....coz hapa tunaongelea wana lunyasi
Huna uwezo wa kuzijenga timu mkuuHapa hakuna ushabiki mkuu...lengo ni kuzijenga timu zetu
Wenzako haoYaani we bwege kweli. Kwahyo hapo uzi tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie utopolo hivi msipoizungumzia Simba mnapatwa na tumbo la kuhara au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Wenzako haoView attachment 2332451