Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora wa copy nimewmini mchina akiamua anaweza.