Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
😃😀😄😁🤣😆😅😂Sindikiza tangazo na picha pamoja na namba ya simu mkuu.
Fake hiyo...Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora wa copy nimewmini mchina akiamua anaweza.
hajasema ni ogFake hiyo...
Aya wakupe control number ulipie TangazoHabarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora wa copy nimewmini mchina akiamua anaweza.
Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora wa copy nimewmini mchina akiamua anaweza.
Na ikikufa baada ya wiki 2 pia usisahau kupandisha uzi,mchina konyo 🤣🤣.Habarini waungwana. Leo nimekubali kuwa Mchina siyo mtu.
Jamaa yangu kanunua Apple Airpods Pro 2gen (ambayo ni premium copy) kwa tshs 90,000/=, aise, ina sound quality ya hatari hadi nimejuta kwanini nilijilipua kununua Airpods Tshs 630,000/= kutoka elite computers.
Kwa kiwango hiki cha ubora wa copy nimewmini mchina akiamua anaweza.
Hapo nimekuelewaNa ikikufa baada ya wiki 2 pia usisahau kupandisha uzi,mchina konyo 🤣🤣.
Aise, yaani,Na mwanao pia kapigwa mi ninazo naziuza kwa 65k. Airpod Pro 2nd Generation na ina hadi Apple warranty yenyewe.
Vipi sound quality inaweza kufikia hata 70% ya OEM?Na mwanao pia kapigwa mi ninazo naziuza kwa 65k. Airpod Pro 2nd Generation na ina hadi Apple warranty yenyewe.