Mr Future1
New Member
- Jun 13, 2024
- 1
- 1
Source: Study Finds Educators, Students Agree: Technology has Value
Source: https://lh3.googleusercontent.com/7...LwVfS_oTC_abe5Oe5J6nfUduD0wPcQ5gX_foNOg=s1200
Ukijaribu kurudi nyuma kipindi Afrika inatawaliwa ilikua sababu ya jinsi mabara mengine walivyo andaa watoto wao hivyo ilituchukua muda sana kupambana na kupata uhuru.
Lakini tukiludi sasa katika dunia iliyo jaa ubunifu na technologia bado kitu kile kile kinaendelea maandalizi ya watoto wao kitechnoligia bado ni makubwa hivyo kupelekea miaka ijayo tuludi kutawaliwa kitechnoligia.
Nini kifanyike basi:
Serikali ifungue vituo vingi Vya mafunzo ya elimu ya kujitegemea na ufundi katika nyanja mbalimbali ili watoto wetu wajifunze kwa majalibio na bado wakiwa wadogo kwani miaka mitatu haitoshi kumuandaa mtoto kuingi kwenye ushindani mkubwa wa dunia wa technologia
Ukiangalia sas mapinduzi makubwa hasa kwenye Artificiall intelligence (akili bandia) lakini bado watoto wetu hawajaandaliwa nao kuwa miongoni mwa wagunduzi katika tasnia hii jambo ambalo badae litatuludisha kutawaliwa kitechnoligia.
Upvote
1