Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Mambo yamebadilika wakuu siku hizi hatushindani kufyatua watoto kutokana na gharama za malezi na malengo ya kuwajengea watoto maisha mazuri.
Zamani watoto waliachana kwa interval ya miaka miwili, hii iliwezesha wazazi kuwa na watoto wengi kwakuwa walikuwa walikuwa na ardhi ya kutosha na yenye rutuba lakini siku hizi mambo yamebadilika, uchumi umekuwa mgumu watu hawategemei kilimo tena ila wategemea biashara na ajira,
Pia malengo yameongezeka yakiwemo kumiliki utajiri wa ardhi, nyumba nzuri na usafiri ambavyo kuvipata sio kitu rahisi inaweza mgharimu mtu robo tatu ya umri wake duniani
Je ni interval gani ya umri ni sahihi kwa kizazi cha sasa?