Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
It's always the best oneHapana aisee...
Hiyo ni ya Gavana mstaafu Anord Schwarzenegger...
Kitambo sana hiyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's always the best oneHapana aisee...
Hiyo ni ya Gavana mstaafu Anord Schwarzenegger...
Kitambo sana hiyo...
HatariNi hatari sana hiyo
Jang Hyuk mwamba kabisa ....
Chuno(slave hunter)
Iris 2
Shine or go crazy
The swordsman
Deep rooted tree
My country: The new age
Family: unbreakable bond ... Hatari sana ..
View attachment 3203894
Pia kwenye G.I JOE
Mkuu hii kauli yako kwa wa korea katika tasnia ya film inaonekana huwajui vizuri, wakorea ni shida wanajua mkuu.Mbwembwe gani tena? Nilijua series za kikorea ndio zile zile za kike so wala sikuwa na time nayo. Itabidi niiangalie watu wanaisifia sana humu JF.
Ushauri wako ni nin sas apoBahati mbaya una hulka kama za mbowe na uchairman wake wa milele kuwa usemacho na wengine waamini watake wasitake.
Au ndo ile kipofu kaona ghafla voom punda yule mbele yake kisha akarudi kwenye hali yake kila akiambiwa kuhusu wanyama iwe ng'ombe,twiga etc yeye atasema punda ndo kibako yao
Huyu kwangu nampa namba moja korea, anajua vibaya mno. Akifuatiwa na wanjan lee(Jumong) kacheza filamu inaitwa "A man called god"Jang Hyuk mwamba kabisa ....
Chuno(slave hunter)
Iris 2
Shine or go crazy
The swordsman
Deep rooted tree
My country: The new age
Family: unbreakable bond ... Hatari sana ..
View attachment 3203894