Kwa Korea Kusini hakuna muigizaji Bora wa kiume kama Lee Byung-hun Jamaa anajua Sana. Squad Game ni muendelezo wa uwezo wake

Jang Hyuk mwamba kabisa ....
Chuno(slave hunter)
Iris 2
Shine or go crazy
The swordsman
Deep rooted tree
My country: The new age
Family: unbreakable bond ... Hatari sana ..
 
Mbwembwe gani tena? Nilijua series za kikorea ndio zile zile za kike so wala sikuwa na time nayo. Itabidi niiangalie watu wanaisifia sana humu JF.
Mkuu hii kauli yako kwa wa korea katika tasnia ya film inaonekana huwajui vizuri, wakorea ni shida wanajua mkuu.
 
Yupo njema,humu kwenye Squid Game S02..ametulia kama mtu vile😀😀😀
 
Dah ila huyu adui wa s2 ya squid game.. ni hatari na nusu
 
Ushauri wako ni nin sas apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…