MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hivi Tanzania tumewahi kuwa serious kwenye ishu gani? Maana hii ishu ya sensa ni vituko sana, nikikupa habari za mtaani kwetu utacheka sana, watu wanapika data tuSensa itadumu kwa siku saba toka siku ilipoanza tar 23 mpaka tar29 kwaiyo jiandae kuhesabiwa kwa manufaa ya Tanzania
Mkuu kabla ya hizi kauli zote ulizoweka kauli moja isiyoyumba iliyokuwepo awali ni sensa ni tarehe 23/8/2022. Hizo za tarehe 29/8/2022, 30/8/2022 na 31/8/2022 zimekuja tarehe 23/8/2022 baada ya kugundua kwamba tayari wamechemsha. Total confusion.Kamishina Mkuu wa Sensa Spika Mstaafu Anne Makinda....
"Sensa itamalizika tarehe 31 August, 2022"
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Chuwa....
"Sensa itamalizika tarehe 29 August, 2022"
Matangazo ya Media za Tanzania....
"Sensa itamalizika tarehe 30 August, 2022"
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan namba yangu MINOCYCLINE unayo na tokea Juzi umekuwa ukinitumia Arafa ( Meseji ) zako za kunitaka Mpemba Mimi nihakikishe Nasensabika tafadhali naomba unitumie tena na leo uniambie tarehe rasmi ya Kukamilika kwa Zoezi hili ni lini.
Nitashukuru.
Kwa mujibu wa miungu sensa itakamilika siku na tarehe itakayokamilikaKamishina Mkuu wa Sensa Spika Mstaafu Anne Makinda....