GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.
Hivi mmeshindwa nini kwa Kipindi hiki cha mpito tu hata Kumkabidhi Timu Mtani wangu wa 'Kiha' Kocha Selemani Matola akisaidiwa na Musa Hassan Mgosi huku ndani ya Wiki Mbili au Tatu zijazo kabla hatujakutana na Red Arrows ya Zambia muwe mmeshampata Kocha Mkuu na wa uhakika?
Yaani Simba SC kabisa ni ya Kufundishwa na Kocha 'mbovu' Thiery Hitimana ambaye hata tu Wachezaji 'Waandamizi' wa Simba SC na Mmoja wa Kigeni (GENTAMYCINE niliobahatika Kuzungumza nao Kiushkaji wetu) wanasema hakuna Kocha hapo?
Hivi unamfukuzaje Kocha wa Viungo Zrane ambaye 100% ya Wachezaji wa Simba SC si tu wanamkubali pia wanampenda mpaka na Sisi Mashabiki kutokana na Kazi yake Kuonekana halafu unamuacha Mtathmini Mkuu wa Mechi (Team Performance Analyst) wa Simba SC 'Mzimbabwe' ambaye huyu ndiyo Jicho Kuu la Kiufundi na Kiushauri kwa Kocha Mkuu na Benchi zima la Ufundi?
Kudadadeki leo nashangilia Police Tanzania na kwa 'Mkakati' wao walioupanga kwa Kusaidiwa na Yanga SC tokea Jumapili mpaka baadhi ya Wachezaji wao Kusafirishwa 'Kimafia' na Yanga SC kwenda kwa Yule Mganga wao Mahiri wa Nungwi Pemba na kurejea 'kimya kimya' Jana (Jumatatu) Asubuhi Ushindi wa Simba SC leo ni Sare tu ila Kufungwa ni Kukubwa na Mimi nataka leo tufungwe ili 'Mgogoro' mkubwa uibuke (uzuke) tupigane na tuchapane vizuri kwani tumeshachoka Kuvumilia Upumbavu uliopo.