Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

Kwa kuondoa aina hii ya uraia, wahamiaji huko Marekani wanalo!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo??

Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it?​

President Donald Trump has said he plans to end "birthright citizenship", which refers to automatic American citizenship granted to anyone born in the US.

On Monday
, he signed an executive order addressing the definition of birthright citizenship, though the details so far are unclear.

Tutafanulie siyo kila mmoja anajua kizungu
Mzee kawako kasema ukizaa na mtoto wa kimarekani mtoto wako hatokua mmarekani bali ataishia kua mbongo tu yaan hatokua raia wa marekani maana watu wanazaa marekani na kuwazalisha raia wa marekani ili watoto wao wapate uraia wa marekani
 
Kwanini watu wanataman watoto wao wawe raia wa marekan? Wala siyo raia wa Dubai, Tanzania au kenya
 
Back
Top Bottom