Kwa kupendwa huku hakika, Bobi Wine rais ajaye wa Uganda

Kwa kupendwa huku hakika, Bobi Wine rais ajaye wa Uganda

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Huyu kijana Bobi Wine anamnyima Museveni usingizi.

Sasa hivi ni wakati wa kampeni Uganda kuelekea uchaguzi. Lakini nguvu nyingi inatumiwa na mseveni kutumia vyombo vya dola kutawanya wafuasi wa bobi wine kwenye mikutano ya hadhara.



adriz de mbusii
 
Mu7 huyu huyu?
Anaemiliki majeshi yote na vikosi binafsi vya msituni?
 
Huyu kijana Bobi Wine anamnyima Museveni usingizi.

Sasa hivi ni wakati wa kampeni Uganda kuelekea uchaguzi. Lakini nguvu nyingi inatumiwa na mseveni kutumia vyombo vya dola kutawanya wafuasi wa bobi wine kwenye mikutano ya hadhara.

View attachment 3507817

adriz de mbusii
Hii nikianza kuripoti kwa mods itakuponza kama ile ya Nyau de adriz
 
Waganda wanachukua notes tz usione wako kimya wanajipanga kuitoa hiyo mende hapo juu😀😀
 
Back
Top Bottom