Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hii nikianza kuripoti kwa mods itakuponza kama ile ya Nyau de adrizHuyu kijana Bobi Wine anamnyima Museveni usingizi.
Sasa hivi ni wakati wa kampeni Uganda kuelekea uchaguzi. Lakini nguvu nyingi inatumiwa na mseveni kutumia vyombo vya dola kutawanya wafuasi wa bobi wine kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3507817
adriz de mbusii
Hivi ghayo de mafwele yuko wapi siku hizi?Hii nikianza kuripoti kwa mods itakuponza kama ile ya Nyau de adriz