kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

kwa kupewa loan... naipigia ccm kura alafu naupigia mlima Kilimanjaro kura

ukikaa kaa chuo najua kura itarudi chadema tu sina wasiwasi coz nipo najua msoto wa huku
 
Duh jaman msameheni, mpaka kakimbia jukwaa. Kajifunza natumai
 
huo ni mkopo lazima utalipa laiti mabilion yaliyofichwa $weden na Magamba yangerudishwa Bongo elimu ingekuwa bure,japo hata mimi nimepata I hate CCM.

Mkopo ni kodi za wananchi na sio mapato ya CCM.
 
Nenda chuo kasome dogo, ukiwa chuo semester ya kwanza utapata akili na kujua kidogo kuhusu nchi yako, cjui umepata chuo gani, ila naamini utakutana na vijana wenzako waliokutangulia na utajifunza mengi,....kuna wenzako karibu 4000 hawajapata mkopo, nao ni watanzania kama wewe, tena labda maskini zaidi yako.
 
Hapo bado si sekta nyeti ushaanza dalili za kuuza nchi, we badala umshukuru mungu unashukuru ccm dah unapotea ndugu,hicho si kigezo!
 
Yaani wewe ni limbukeni na mshamba kupindukia,
Utauza utu wako kwa ulimbukeni wako!
 
msimamo wangu upo palepale ...movement for CCM japo siwapend..
 
hiyo ni zawad yangu kwao...vp wadau mnaniunga mkono????

kumbe ww ni mpenda rushwa kias hicho,mubinafsi sana,swala la kura unatazama maswala mtambuka ambayo yanamgusa kila mtanzania,leo ww una utofaut gani na yule apigae kura kwa kupewa chumvi na t shirt? Jaribu kutumia akili yako ktk maswala haya muhimu sana,yaani madin yetu,mbuga zetu,milima yetu,mafuta yetu,ardhi yetu,watu wetu nk vinachotwa na kupelekwa nje ya nchi hili kukunenepesha group la mafisad na familia zao,jaman akina mama wanakufa kwa kukosa huduma za afya,watz wanaish maisha magumu kwa sababu ya uzembe wa serikali(ccm)iliyoko madarakani leo ati unakuwa mbinafsi unauza watanzania wenzako kwa sh 3million ya mkopo !!! Kweli ww unafuatilia siasa kweli? Rais amekuwa Mungu mtu anaingilia mihimili ya bunge na mahakama,polis wanauwa wananchi bila kosa,usalama wa taifa umegeuka kuwa usalama wa ccm yote hao unaona sawa na kuamua kutoa maisha ya baba,mama,shangaz,mjomba,jiran yako kwa sh 3 million,duu imeniuma sana bado sitak niamini ww ni mwanafunz uliye maliza form six,kama kweli ww ni six basi taifa hili bado 2na safar ndefu ya kuhubiri ELIMU YA URAIA.
 
Nchi imefika hapa kwa kuwa na watu kama nyie, hiyo ni haki yako kikubwa umekidhi vigezo vinavyotakiwa unless kama umepata kimagumashi huo mkopo, nyie ndio wale wananchi mnaodanganywa na viongozi bila wao maisha yenu yasingekuwa hapo kumbe kuna mazingira ni juhudi binafsi na kufikia vigezo vinavyotakiwa na si kama unavyofikiria wewe, AMKA AISEE.
 
mitoto mingine bana yaani kitu unachoenda lipia unatoa kura.yako what a crazy thought yaani ww inaonekana hata kuuza. . . . kwa hela uko tayari
 
Back
Top Bottom