Kwa kupiga bao moja na weza pata ukimwi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Ndugu wanajf naombeni ushauri coz kama mwezi wa 7 hivi nilikuwa na arosto +pombe nilijikuta nimelala na mwanamke nisiye mjua naombeni mniambie kwa kupiga bao moja na weza pata ukimwi? Na je dalili za ukimwi ni Zipi? na dalili huanza kuonekana baada ya siku ngap?
 
Kipimo cha ukimwi ni bure kabisa.
Fanya ukapime halafu uulize maswali yote unayotaka kuuliza kwa wale jamaa wa ushauri..

Sababu mimi binafsi sijaelewa unataka kujua nini
 
Inamaana hawa wanaharakati sijui NGOs wanaotupigia kelele kila siku wanafanya uhamasishaji na elimu huwa wanawafikia watu gani?

Kusingizia pombe na alosto sio mbaya sana, lakini kusema hauelewi ukimwi unaambulizwaje inatia walakini na kuibua maswali mengi juu yako.

Sio jambo la robo, nusu au bao moja, damu au majimaji ya mwenye virusi yakichanganyika na kukawa na michubuko asilimia kubwa maambukizi yatatokea. Kuhusu muda wa dalili inategemea vitu vingi ikiwapo kinga yako na hali yako kwa sasa.

Mwisho sio kila ngono inapelelea maambukizi.
 
Nakushauri nenda hospito kachone sindano ya tetenus au sindano yenye sumu ya panya baada ya siku moja ulete mrejesho maana VVU vyote vitakufa
 

Nenda shule kwanza.
 
Nikajua kuna history ya namna ulivyopata UKIMWI kumbe unaulizia tu?
Nenda kituo cha afya ukapime
 
Nenda kameze vidonge vya PEP unabugia mwez mzima mavidonge fanya haraka
 
Pia mwambie asubiri miezi mitatu iishe ili akapime
 

Unaweza piga bao moja na likachukua saa nzima Sababu ya ulevi, tena bila maandalizi. Hapo unakosaje ngoma kwa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…